Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

hahahahaha
mkuu hapo kama huyo binti ni marehemu mtarajiwa basi wewe hesabu miezi 3 kisha ukacheck afya ili uanze dose mapema lasivyo mmh...!
 
hahahahaha
mkuu hapo kama huyo binti ni marehemu mtarajiwa basi wewe hesabu miezi 3 kisha ukacheck afya ili uanze dose mapema lasivyo mmh...!

Duh!

Kaka, kwanza nakupa pole sana maana inaonyesha kwanza ni jinsi gani usivyo upenda mwili wako na hii dunia inaonekana umeshaichoka kabisaaaa. Any way hatuwezi kujua ni nini kinachokusibu mpaka uende pekupeku hivyo, yawezekana pia nawe ulishayakanyaga kakangu ndoo maana na wewe hujali. Lakini kama kweli umzima wa afya pole sana.
 
Nondoboy anarepresent watanzania wengi wenye kufanya ngono zembe kama yeye! yani utakuta mtaani bado kuna watu wanajisifia kuwa na mahusiano na mademu chungu nzima. Hii ni hatari!!

Tumwelimishe Nondoboy kwa faida ya wengi. Ila ni waTz wangapi watapata fursa ya kuona JF achilia mbali kuwa na Kompyuta. NGOs za Ukimwi na asasi zote za Ukimwi zina kazi ya ziada hapa!
 
Hii ni Hatari kuona Jamii ya wataalamu wa JF wasipotoa ushauri sahihi.

Wengi wamekuwa watetezi wa ZINAA na mambo ya UZINIFU wenza.

Kimsingi Huyu dogo yafaa aambie aache UZINIFU, Hivi yeye yupo tayari Mama yake Mzazi AZINIWE na wale watetezi wa Kondom, Hivi upo tayari mama yako Aziniwe hata kama anaemzini amevaa Kondom?

Nondoboy, nakushauri uache Uzinifu, Hivi ujiulizi kwanini watu wanakufa? in your future nenda kapime, ujijue, wether positive or negative, the UZINIFU uache.
Ukizini na dada wa mwenzio, au mama wa mwezio, Ujue mama yako au dada yako nae ataziniwa
 
Ukizini na dada wa mwenzio, au mama wa mwezio, Ujue mama yako au dada yako nae ataziniwa
mhhhh..........
 

Ninaungana na wote waliokushangaa kwa kitendo chako cha kukutana na msichana tena kwa mara ya kwanza na kufanya tendo la ndoa bila kondom. ninawasiwasi inawezekana umeshaunganishwa na Grid ya Taifa. Ninakushauri ukapime ili uanze kuishi kwa matumaini. Ukijikuta uu salama usifanye tena huo mchezo mchafu bila kondom.
 
Mtafanya mwenzenu agongwe na gari kwa mawazo ... ila pole bwana .. raha ya dakika tano ... majuto milele ... kapime tu maana kuambukizwa siyo kufa siku hiyo hiyo
 
Mtafanya mwenzenu agongwe na gari kwa mawazo ... ila pole bwana .. raha ya dakika tano ... majuto milele ... kapime tu maana kuambukizwa siyo kufa siku hiyo hiyo

Naima just like the picture of a pumping heart i like the way you put a bit of your heart in the many posts of yours that i've read
 
Mshikaji hufai hata kwa kulumangia UGALI, yaaani kwa hatari hiii bado unatiana bila VAA huwasikiii hata kunguru wanatuelekeza kila wakati?
SHAME ON YOU.
Siku nyingine itakatika kabisa
 
Siku nyingine itakatika kabisa

Duh!!!! umetishia sana ila kama ingekuwa hii ndiyo result ya kufanya vijimambo bila mpango, watu wangepata adabu.....na tungeangamiza ukimwi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
... kapime tu maana kuambukizwa siyo kufa siku hiyo hiyo

...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ astaghafirullah!

...yaani hapo umepigilia na msumari kabisaaa, hata ningekuwa mimi siendi kupima tena, na liwalo na liwe!
 
...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ astaghafirullah!

...yaani hapo umepigilia na msumari kabisaaa, hata ningekuwa mimi siendi kupima tena, na liwalo na liwe!

..kupima ni kujua afya yako!, kuwa hiv +ve si mwisho wa dunia!
 
..kupima ni kujua afya yako!, kuwa hiv +ve si mwisho wa dunia!

...Sahihi kabisa, lini umepima UKIMWI mara ya mwisho?
 
...Sahihi kabisa, lini umepima UKIMWI mara ya mwisho?

Mchongoma usijali na wala usiogope nitakusindikiza...

Maana naona kwenye avator yako tayari unachimba kaburi ... ha ha ha ... cha ajabu ni kwamba unaogopa kufukiwa ... unaruka nini .. ukishapima wallahi utaacha kazi hiyo
 
mnh...haya bwana mdogo...dunia hii unapiga peku mbaka uboo unachubuka? Kila la kheri kwenye ngono zembe yako hiyoo
 
Mshikaji pole sn the jipe moyo kapime maana huo uwanja uliopita unaweza kuwa si salama. Na baada ya kupima ujaribu kwenda tuition jinsi ya kutumia condoms.
 
Kijana sasa unaogopa nini si umeamua mwenyewe..wee! ushaamua kua mjeshi bwanda utavaa kukiwa na jua joto mvua bwanda unalo hilo...Nashangaa sana unauliza nini tena..endelea tena na tena kijana...
 

You remind me of Shaggy ... "it wasnt me"
 
Kaka nakushauri uache mipini kabisa kwani wewe sio professional player wa hiyo game.hatuendi hivyo.Hebu tulia ujipange upya kaka.Unaingia uwanjani bila viatu,soksi alafu unajikwaa then unaomba ushauri wakati unaelewa utatuzi unaujua.alafu umenichekesha ulivyosema ulitemea mate du yaani hata mafuta hukuweza kununua kwenye phamacy.na kwasababu ni mara yako ya kwanza inaelekea hata maandalizi ulikuwa hufanyi na hujui na pengine ulikuwa unafanya sex rafu sana ndio maana ukachubuka,Unatisha.take care of urself man.hiii dunia unaielewa kweli au bado uko gizani.Tulia achana na vicheche watakuua
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…