pumbavu kabisa,yaani huoni hata haya kuandika pumba,ukijakuugua uanze kusumbua ndugu zako?!!! tena nakupa ushauri wa bure, kaa baada ya miezi mitatu ukapime wewe na huyo mjinga mwenzio na usitiane nae tena,mpaka uhakikishe kuwa huna maambukizi wewe na yeye,then ndio uje na swali lako!!!