Uume wangu umeshindwa kusimama

Yaani mpaka dhambi zinakukataa kijana ebu tubu uende mbinguni achana na uzinzi.
 
james2018 pole sana. inaonekana mchepuko wako hana mvuto na anakukinai mapema hivo unajilazimisha kumrizisha. Au mkeo kakukarabati?
 
Ebu jaribu kumshirikisha mkeo hiki kisa nadhani atakushauri vizuri tu
 
sasa bana itabidi tuu ujiweke kwenye listi ya mkulo mwenyewe! kuwa na ww ni kon××
 
Je unapokuwa na mkeo hali inakuaje? na je huyo mchepuko mazingira yake yakoje? anamume? bwana?

Mazingira yanatia wasiwasi kama pana mchezo mchafu hivi unafanyika.

Ila ukigundua kuna kajimchezo hata kama ni wife mtimue. Washirikina ni watu wabaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…