Mkuu pole sana kwa hayo yaliyo kupata, huo ugonjwa unaitwa vitiligo na huwa hautibiki cha msingi ni wewe kuikubali tu hiyo hali na inabidi uende kwa wataalamu wa magonjwa ya ngozi kwa ushauri na huduma zaidi. Kwa wapenda picha hii hapa:
Unajua watu tunachangia kimzahamzaha tu lakini hii ishu inaonekana iko so serious,hebu cheki hiyo mikono tu inavyotisha,ukimwonyesha mtoto wa mwaka mmoja kama alikuwa analia ananyamaza na usiku ataota!
Sasa piga picha kwamba ndo penis iko hivyo pale kwa mbele inatisha baab! Hata mwenye nayo utaogopa kuipiga chabo.
Nakumbuka kipindi flan nilifanyiwa op kubwa ya tumbo ( laparatomy) kutokana na utumbo kujifunga then nikawekewa colostomy,hiyo ni kama artificial anus,na inawekwa tumboni pembeni kidogo ya kitovu kwa chini temea mate chini mkuu! nilikuwa najiogopa.
Hadi leo nikikumbuka mwili unasisimka nilikuwa kwenye hali hiyo kwa six months,ndo nikafanyiwa operation nyingine ya kunirudisha katika hali ya kawaida nasikia watu wenye saratani ya utumbo huwekewa njia hiyo for life ( so sad,hujafa hujaumbika).
Tukirudi kwa mleta mada,hapo dawa ni kuoa tu (kama bado) nina imani mwanamke utakaemuoa mwanzoni atapata tabu kwani hata stimu zitakuwa zinamkatikia kitandani
lakini day after day akiishazoea ataona kitu cha kawaida tu,mdoli usiong'ata!
Angalizo vitiligo haina dawa ya kuiondoa,sanasana kadri kiungo kinavyokua nayo inazidi kukua!