Uume wangu unatoa usaha

Hiyo ni Gonorrhoea, wahi hospitali haraka ukachomwr sindano mwqmbie na mwenza wako.
 
Achana na mambo ya chululu yako ,,



Naomba mwenye picha ya vidonge vya ARV's atume wengine hatuvijui
 
Kaswende iyo nenda hospital na akiba ya kama 25 elfu iv matibabu yake Condom ni 500 tu...!!!
 
Ilo ni gono bila shaka,wahi hosptali mapema.
 
Reactions: BAF
Cefriaxone 1g IV+ Azithromycin haraka.
Acha kutembea peku
 
aise mbebe mwenza wako uliefanya nae mapenzi mara ya mwisho mkapate vipimo na tiba...omba Mungu tatizo liwe ni hilo tu la usaha...maana mengine ukiyapata hayaponagi.
 
Ni usaha au maji Maji meupe? Kama ni Maji Maji meupe hiyo itakuwa U.T.I iliyokomaa. Lakini kikubwa fika hospital au maabara upime STD’s pamoja na U.T.I. Kama una mwenza ni vizuri ukaenda nae maana unaweza ukawa unajitibu ila ukikutana nae anakurudishia tena maradhi.
Pole
 
Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
Kama unasikiaga kisonono ndo hicho, halafu kinaenda na mwamaume kusikia msisimko sana wa mapenzi ili uambukize wengine. Kama kuna mwanamke ulilala nae usimrudie mpaka atibiwe kwanza. TAHADHARI kwa kipindi hiki uwezekano wa kupata maambukizi ya UKIMWI ni 100% chukua tahadhari kubwa kutofanya mapenzi mpaka upone, kwa ujumla inaonyesha huwa unafanya unprotected sex, Kuwa makini sana . Nakushauri uende hosipitali huo ugonjwa unatibika kilahisi sana ukiwahi kupata matibabu.Ufue nguo zote ulizokojolea na maji moto chupi zote na usikose kunyoosha suruwali ulizotumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…