Uume wangu

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Jamani wakuu naombeni msaada, natoka ute weupe kwenye uboo wangu yaani sons tags, mda mwingine nahisi mishipa ya mboo inauma, msaada ni nini na nifanyeje?
 
Jamani wakuu naombeni msaada,natoka ute weupe kwenye uboo wangu yaani sons tags,mda mwingine nahisi mishipa ya mboo inauma,msaada ni nini na nifanyeje?

Nenda kamuone Dactari labda umeambukizwa gono.Pole
 
Jamani wakuu naombeni msaada,natoka ute weupe kwenye uboo wangu yaani sons tags,mda mwingine nahisi mishipa ya mboo inauma,msaada ni nini na nifanyeje?

Nenda kamuone Daktari labda umeambukizwa gono.Pole
 
UMEGONGA (Ng'e) Gonorreah la mbwa
Du Dawa ninayoikumbuka ni Cyproflaxacine 500mg (sijui km nimepatia maandishi ya kiMedicine) iwe ya India
maana zile sindano za mifugo dose yake huiwezi labda upunguze alcohol
subiri pia wataalam watakupa tiba maana huo ugonjwa ulipotea muda baada ya kuanza kuvaa kinga (epuka Machangu) Pole
 
Nenda hospitali ukapimwe daktari atakupa ushauri na matibabu sahihi. Usiogope....
 
Jamani wakuu naombeni msaada,natoka ute weupe kwenye uboo wangu yaani sons tags,mda mwingine nahisi mishipa ya mboo inauma,msaada ni nini na nifanyeje?

Mara mwisho kufanya ngono ulivaa condom? Wahi hospitali ukapimwe
 
Mkuu asante,ngoja niitafute hii dawa,
 
je huwa unapanda mnazi kwa mkono mmoja aka puli kama ndio achana na hiyo kitu..
 
Kwa bongo huwezi tibiwa gono mpaka uende na mwenzako kama uliopoa afrikasana,utalamba galasha! ulifikiri ni ujiko kulala kwenye nyumba ya kupanga bila blanketi?!
 
Mkuu asante,ngoja niitafute hii dawa,

Hapana usiitafute hiyo dawa, haitamaliza tatizo lote, itapunguza tu maumivu kisha njia ya mkojo itaanza kuchimbika. Cha msingi nenda hospitali kapime kisha upate matibabu halisi. Usione soo. Kama unaogopa anza kumeza Cipro 1, metronidazole 2 na doxy 1 kisha uendelee na metronidazole 2x3 kwa siku tano na doxy 1x2 kwa siku kumi na pia uchome sindano powercef moja na hii sindano ni IV au IM. Upone, ulikula pabaya na mwenzio pia umtibu
 
ok,ngoja nifike kwa hospital,asante mkuu
 
Pole sana mkuu. Inaonekana umemchomeka mzee kwenye tundu la MCHWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…