Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
😂 😂 😂 😂 😂 😂Uunde pikipiki kwa gharama ya laki 5!! Hayo material ya kufanyia hiyo kazi amekupa nyanya yako!
Gari uunde kwa million 2 [emoji23] [emoji23] brother kuwa serious na uundaji.
Venye anasound kama vile hiyo kazi unafanya kwa kuitana na your family.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uyu jamaa sijui ndio kwanza anaamka
Jamaa kama kavuta bangi hvi...aina mpya inaitwa fidodido 😀Uunde pikipiki kwa gharama ya laki 5!! Hayo material ya kufanyia hiyo kazi amekupa nyanya yako!
Gari uunde kwa million 2 [emoji23] [emoji23] brother kuwa serious na uundaji.
Hakya nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], brother kuwa serious na uundaji wakoUunde pikipiki kwa gharama ya laki 5!! Hayo material ya kufanyia hiyo kazi amekupa nyanya yako!
Gari uunde kwa million 2 [emoji23] [emoji23] brother kuwa serious na uundaji.
Mkuu mabaharia wameacha kukutongoza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Uunde pikipiki kwa gharama ya laki 5!! Hayo material ya kufanyia hiyo kazi amekupa nyanya yako!
Gari uunde kwa million 2 [emoji23] [emoji23] brother kuwa serious na uundaji.
Jembe la kukokota ni zaidi ya laki 2 ije kuwa pikipiki.Usiwakatishe tamaa, bora ya huyu amethubutu angalau kuwaza hivyo hatimaye atachumua hatua ni wazo ZURI, NA LINAWEZEKANA SANA TU.
Labda tuunde VICOBAVenye anasound kama vile hiyo kazi unafanya kwa kuitana na your family.
Tatizo siyo kuunda tatizo ni hizo gharama ambazo huyu kapendekeza.Mbona kunajamaa katengeneza bajaj yake na inasimamiwa jino kwa jino inatembea fresh inasubir kupitishwa na tbs. Kila kitu kinawezekana na watz tunaweza sema kama huyu jamaa eti tbs ilimkatali kwakua imepungua cm10. Saiz wanaiongeza kdgo baada ya waziri kuwakomalia.
Gharama nafuu sana kwa maelezo yake hakuweka wazi beibgan ila kwa production kubwa ukianza utapata vtu vingi kwa jumla na bei itapungua sana ila sio kwa bei ndogo kama alivo sema.Tatizo siyo kuunda tatizo ni hizo gharama ambazo huyu kapendekeza.
Umefuatilia kujua ameunda kwa gharama gani hiyo bajaj?
Gharama nafuu sana kwa maelezo yake hakuweka wazi beibgan ila kwa production kubwa ukianza utapata vtu vingi kwa jumla na bei itapungua sana ila sio kwa bei ndogo kama alivo sema.