Uundwaji wa tume Tanzania!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu naomba mnisaidie juu ya hili suala hivi kwa nini mawazi wanakimbilia kuunda tume kuchunguza mambo hata kwa yale yaliyo wazi?ni kukosa umakini au kutokuwa na uamuzi wa kuamua vitu bila kushirikishana?

Hili limekuja baada ya kupitia gazeti la mwananchi leo na kukuta kichwa cha habari kinachosema kuwa 'Tume yaundwa kuchunguza ufisadi wa Tanesco''

Hivi hata hili lilowazi kabisa linahitaji kuundiwa tume wakati mambo yako wazi.

Na hakuna hatua ambayo inaweza chukuliwa bila undwaji wa tume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…