Uuuwi, NISAIDIENI BREAK YA MKOJO IMEKATA.

Pretty R.

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
200
Reaction score
31
Jamani nisaidieni mwenzenu break ya mkojo imekata, ukinibana unatoka hata kabla sijafika toilet na unatoka kidogo baada ya muda mfupi unanibana tena. Imefikia mahali naogopa hata kwenda kazini nipo tu ndani sitoki.
 
Nina cylinder ya kuziba,inausukuma kwa ndaniiiiii halafu kwa njeeeeee hivyo hivyo,badae inautoa wote bwaaaaaaa!!!!!
 
Jamani nisaidieni mwenzenu break ya mkojo imekata, ukinibana unatoka hata kabla sijafika toilet na unatoka kidogo baada ya muda mfupi unanibana tena. Imefikia mahali naogopa hata kwenda kazini nipo tu ndani sitoki.
Pole sana mwaya, I guess ni ke, ngoja tusubiri wataalamu waje, nina tatizo linakaribiana na lako mie siwezi kukaa nao muda mrefu. Lakini pia maji nakunywa mengi sana.
 
Pole sana mwaya, I guess ni ke, ngoja tusubiri wataalamu waje, nina tatizo linakaribiana na lako mie siwezi kukaa nao muda. mrefu. Lakini pia maji nakunywa mengi sana.
Asante Mwasi, mimi mwenyewe nilianza kama wewe sasa hivi
sina break kabisa.
 
Sijacheki labda nikacheki maana hilo wazo sikuwa nalo. Asante ndugu yangu.
karibu,pole!
kuna mtu aliwahi kuniambia unaweza hata uka utest mkojo wako kusikilizia kama una utamu wa sukari!!jaribu
 
Kisukari dalili yake moja wapo ni kukojoa mara kwa mara ata kama ukinywa maji kidogo lazima utakojoa. Cha msingi nenda hospital za private mweleze daktari historia ya ugonjwa wako. Hospitali hizo ni TMJ,Aghakhan,hidumandal...

Kama unatania huu si utani mzuri kama unaumwa pole sana. Mungu ni Mwema atakusaidia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
You need a specialist review, go to a hospital and make sure you consult a gynecologist, or at least a general practitioner kama hakuna such a specialist kwenye hospitali utakayoenda, i think it is a serious situation and such a consultation will be beneficial for you.
I think you are suffering from overactive bladder. Diagnosis of OAB is suggested by urinary frequency often associated with a strong urge or a sense of impending urine loss. Incontinence often occurs prior to reaching the toilet. Loss of urine may occur seconds after stress, such as a cough or strain. Physical or environmental stimuli, such as running water, cold weather, or hand washing, may elicit an urge. This is typically characterized by an uncontrollable urge to void when unlocking the door after returning from a trip out of the house. The first thing done upon return is to immediately rush to the toilet or risk losing urine.
Its treatment involves behaviour therapy and pharmacologic intervention. Just go to a hospital uonane na mtaalamu umuelezee vizuri, utapata ufumbuzi wa tatizo lako na tiba sahihi,.hilo sio tatizo la kukaa nalo home
Kwa haraka haraka, thats my proffessional view............ I might be wrong, haya mambo yanahitaji a thorough history taking and physical examination, nasisitiza tena, nenda kawaone wataalamu face to face. Goodnight.

[TD="width: 100%"]

[TD="class: font11noMargin"]

[TD="bgcolor: #ffffff"][/TD]
[/TD]
[/TD]

[TD="width: 100%"]

[TD="class: font11noMargin"]

[TD="bgcolor: #ffffff"][/TD]
[/TD]
[/TD]
 

Siyo gynacologist. It is a urologist that should be consulted.
 
Kwenye swala la ku-stop mkojo liko hvi: Mwanamke ni tofauti na mwanaume kutokana na URETHRAL SPHINCTER MUSCLES ambazo ziko pale kwenye uume au uke mwishoni ambapo ndo huweza kuzuia mkojo utoke au la. Hii misuli iko WEAK kwa wanawake na iko STRONG kwa wanaume ndo maana ni rahisi kwa mwanaume kukojoa kichakani au njiani coz anaweza kubana mkojo na kwenda kumalizia mbele ya safari,lkn kwa mwanamke hawezi. Kwa7bu hyo kutokana na hii misuli kuwa WEAK kwa mwanamke hu7bisha pressure kubwa na huwa hawawezi kuu-stop mkojo ndomana sehemu aliyokojoa mwanamke huwa na KISHIMO. Kuepukana na tatizo hili SIO VIZURI KUUBANA MKOJO KWA MUDA MREFU, UKIUBANA KWA MUDA MREFU UNAWEZA UKAICHOSHA NA UKAILEGEZA HYO MISULI.matokeo yake mkojo unakutoka hadharani, KNGA NI BORA KULIKO TIBA. Kama tatizo lako hali7bishwi na maelezo yangu basi kamuone dr coz me nme2mia KNOWLEDGE
 
MARADHI YA KUTOKWA KWA MKOJO KWA WINGI BILA YA KHIARI (POLYURIA): Haya ni maradhi ya kutokwa na mkojo bila ya khiari . Kabla mkojo haujakusanyika vizuri kwenye kibofu cha mkojo na mgonjwa kujiandaa kwenda

chooni, hutokwa na mkojo hata kabla ya kufika chooni. SABABU: (1) Kulegea kwa kibofu cha mkojo. (2) Maradhi ya kisukari. (3) Kuwa na minyoo tumboni. (4 Kutumia madawa ambayo huchochea kutokwa kwa mkojo. (5) Kuwa katika mazingira au hali ya hewa ya baridi. (6) Kunywa kwa wingi vinywaji, pombe,n.k.


TIBA: Chukua Bizrulqutni vijiko vitatu vikubwa uchemshe ndani ya maji lita moja na nusu. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara mbili.


Mkuu.@Pretty R Tumia Dawa zangu na uende Hospitali ukapime ili kujuwa una ugonjwa gani? Nina hisi utakuwa ni dalili ya ugonjwa wa kisukari

Polyuria






Regulation of urine production by ADH and aldosterone
ICD-10R35
ICD-9788.42
MedlinePlus003146
MeSHD011141
 
kwanza nenda Hospitali ukapime kama una sukari
kama unakunywa chai wacha mara moja hata kama unakunywa kahawa pia iwache pia kama unakunywa juice ya machungwa au zabibu usinywe jaribu kama wiki moja halafu linganisha kama umepata nafuu,

muhimu kwanza kapime hospitali ndio utapata uhakika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…