Uuuwi, NISAIDIENI BREAK YA MKOJO IMEKATA.


hii ajali ilinitokeaga kama mara mbili hivi. Lakini nilisumbuka kama mwezi mzima (inatesa. Once i had to seat on the toilet with my pants on). It was weekend. I freaked out. But it went away. I was never treated.

I do kegel's exercise throughout and i drink a lot of water. Sijaelewa, at least umenipa pa kuanzia utafiti wangu.
 
Asante doctor, nimekuelewa na nitaenda hospital, kweli umenipa mwanga na umenitia moyo sana. Mungu akubariki sana na uendelee kusaidia watu wake kwa karama aliyokupa.
 
Nina cylinder ya kuziba,inausukuma kwa ndaniiiiii halafu kwa njeeeeee hivyo hivyo,badae inautoa wote bwaaaaaaa!!!!!
Acha utani watu wakiwa wanaumwa, nenda kule kwenye jokes kama utani umekukolea, au upite usichangie kwani utakaukiwa damu.
 
Asanteni wakuu wangu, Mungu awazidishie kila mtu kwa karama yake maana madoctor wa JF mna moyo wa kusaidia sijawahi kuona.
 

Nadhani kegel exercise ndo imeleta shida, ukifanya kegel fanya kila siku na piga flex zile zile ambazo huwa unapiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…