Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya cement (yaani kina uwezo wa kupokea mifuko mingapi kwa wakati mmoja) ni cement ipi yenye faida nzuri na inayotoka?