Uuzaji wa dread locks

Uuzaji wa dread locks

ikuuee

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
25
Reaction score
9
Habari wanaJF,

Fursa kwa wale wenzangu na mie wenye nywele za dread locks, jamani ni dili sikuhizi zinauzwa mie nimesikia tu lakini. Nataka kuuza zangu nikipata mtu wa kufikia dau zuri.

Niambieni wanaJF kama hii mambo ni ethically right kuuza nywele zako?
 
I find it creepy....na naona tatizo ni kwa mnunuzi zaidi ya muuzaji....unalalaje na nywele za mtu mwingine....
 
tunanunua weaving original zile ni nywele za watu na tunashonea ni poa tu, nadhani nikipata mtu wa kuniwekea vizuri ntanunua dreads kuliko kukuza mwenyewe. Enhe zako utauza shngap na zikoje?
 
okey mydr, na me nimesikia hizo tetesi, me ndo natafuta mteja wa kumuuzia zangu. if you're interested inbox tuongee zaidi kuanzia hapoo.
 
Unaloweka na jik 1/20 parts na omo yenye powerfoam plus kiboko ya uchafu.

Hahaha. It is creapy kuvaa human hair yoyote, hakawii kurithi maruhani.
Mmmh.......zitakuwa treated......?.........maaana......
 
Unaloweka na jik 1/20 parts na omo yenye powerfoam plus kiboko ya uchafu.

Hahaha. It is creapy kuvaa human hair yoyote, hakawii kurithi maruhani.

Ninavyokula mdudu hendsam......ruhani haniwezi......
 
Back
Top Bottom