moja ya brand yenye miziki mizito sana, enzi hizo namiliki ailiang walijua nina hometheater ndani, ukizingatia nlikua nakaa kisingo room kimzki nikikifungulia Mkito unauskilizia ukutani tu..
Hiyo aborder 55" ni sh ngapi?Aboder tunazo mwisho 55 inches
Mbona hukunijibu swali langu?Hiyo aborder 55" ni sh ngapi?