Mkuu ushauri wangu lipia hii huduma nadhani elfu kumi tu kwa dada mmoja anaitwa sheryy kama sijakosea atakufunza aina nyingi za juice na vingine vinigi
Ila kinyumbani mm kw kuwa wa diet viungo navyotuimia ni mdalasini, iliki, karafuu ,tangawizi
Sent using
Jamii Forums mobile app