Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mimi ni nauza viwanja na heka kwa walionavyoo sasa mtu jana amedai yeye anauza viwanja nimempeleka mtu akavione tumezunguka mwisho wa siku hana cha kutuonyeshaKwa hiyo unauza Mkuu au unataka kununua?
Atakuwa Tp huyoMimi ni nauza viwanja na heka kwa walionavyoo sasa mtu jana amedai yeye anauza viwanja nimempeleka mtu akavione tumezunguka mwisho wa siku hana cha kutuonyesha
Kabisa amenikosesha hela xmassAtakuwa Tp huyo
Niuzie vyangu, vina hati ya wizara. Vipo Mwasonga, Kigamboni.Mimi ni nauza viwanja na heka kwa walionavyoo sasa mtu jana amedai yeye anauza viwanja nimempeleka mtu akavione tumezunguka mwisho wa siku hana cha kutuonyesha
Nipo Arusha bossyNiuzie vyangu, vina hati ya wizara. Vipo Mwasonga, Kigamboni.
Ah poa mkuuNipo Arusha bossy
Kikatiti kwa bajeti ya 3M mtu anaweza kupata ngapi kwa ngapi mama?Viwanja vya halal ni vya kikatiti na maji ya chai na king'ori, na boma ila kama unataka mahali pengine tupige simu ya chapu
Maroroni ndio unaweza pata 20 kwa 15 ila nipigie kwa hii namba👇 niulizie kwa kikatiti kama vitapatikana kwa hiyo bei 0699 22 79 42 .Kikatiti kwa bajeti ya 3M mtu anaweza kupata ngapi kwa ngapi mama?
SijakuelewaSiku hizi watu wanauza viwanja na mashamba na mikoani wanatuma