BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Hata mimi nilijua ivyo niwahi mapema kuchukua chuma mapema kumbe ni vifaa vya kukatia vitunguu jikoni!Hizo siyo silaha ,hizo ni ZANA tu ,ulivyotaja SILAHA nikajua ni MJEGEJO aka MGUU WA KUKU aka GITAA aka BOMBA aka CHUMA aka MASHINE
Mkuu, sasa mpaka mtu akutie kiberiti unamwangalia tu (Ukiachana na kuchoma Jengo) 😁Kitu chochote kinaweza kua Silaha inategemea na kitu hicho unataka kukitumiaje,
Hata kiberiti ni silaha pia,hata Kamba ni silaha pia,ukianza kuhesabu ni vitu gani ambavyo ni silaha na visiuzwwe,basi utazuwia uuzwaji wa vitu vingi sana.
Japo wazo lako au wasiwasi wako nauheshimu na kuheshimu maoni yako.
Anashindwa kutofautisha kati ya Weapons and Tools.Hata mimi nilijua ivyo niwahi mapema kuchukua chuma mapema kumbe ni vifaa vya kukatia vitunguu jikoni!
Kwa muktadha huo basi hata chupa ya soda/bia ni weapons ,mkanda wa suruali etc waingize kwenye sheria.Kwa Sheria ya Tanzania visu ni weapons.
Kabisa tena hivyo kwenye picha ni urembo wa ndani tu vinavutia kupamba ndani!Anashindwa kutofautisha kati ya Weapons and Tools.
Sio kweli mimi polisi walishawahi kunikamata na bisibisi usiku ulikuwa mtitiKwa Sheria ya Tanzania visu ni weapons.
Ngoja BAKITA waje.Hivi ni dhana au zana? Maana kiswahili ni mtambuka, kina mawanda mapana.