Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Mkuu ingawa sijui unazungumzia nini 😂😂 ila hapo kwenye bugiri rekebisha kidogo ni burigi au kwa kirefu, Burigi -Chato.
 
Natamani kufahamu Salva Rweyemamu yuko wapi na anafanya nini? Je, anajifunza nini ktk utendaji wake akilinganisha na Msigwa?

Salva alijitwalia madaraka makubwa sana hadi kuonekana kama naye ni rais ya wana habari!
 
Watawala hujisafishia njia wakiona wanaoufahamu uovu wao wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…