Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Magufuli ni fisadi na mwizi, no apologies!
 
Imebidi nifufue huu Uzi. Hakika waonwaliofaidi, wapi walipoteza, wapo waliolia, wapo waliopotezwa, wapo walioteswa.
 
Kazini kwako kulikua na KAZI
 
Mimi siyo mfuasi wa Vitabu vya Investigative Journalist ila nimemkumbuka Sundi Malomo. Pole Sana Janet. Ulivumilia mengi Sana. Nikiangalia unyoofu wako wa moyo na nidhamu njema basi najua ndanindani ulivuja damu na jasho la damu ambako halikuweza kuonekana katika macho ya mwanafamu.
 
Huu ulikuwa ni wizi wa mchana kweupe, hakukuwa na sababu za msingi za kuuza nyumba za uma bali ni tamaa tu na ulafi wa viongozi wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…