Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Afrika ni afrika tu! Ndo maana haitatokea Nabii mwafrika. Hata Huyu tunayejivunia kupambana na rushwa kumbe ni mwenzao tu! Ni aibu kwamba pamoja na hasira na kuonyesha kuwasikitia wanyonge na wadhaifu, bado naye alianzisha matatizo tu!
 
Huyu bwana ni mwivi,mdini, mbinafsi na mkabila kupindukia,
Tuungane kumuondoa ktk sanduku la kura 2020 hata kama ni kwa kuwaunga mapanya buku kina makamba na membe ili mradi totoe joka hili pangoni.
 
Afrika ni afrika tu! Ndo maana haitatokea Nabii mwafrika. Hata Huyu tunayejivunia kupambana na rushwa kumbe ni mwenzao tu! Ni aibu kwamba pamoja na hasira na kuonyesha kuwasikitia wanyonge na wadhaifu, bado naye alianzisha matatizo tu!

Hakuna cha kuwasikitikia wanyonge, kwani wanyonge wako mwanza pekee ambako alisema wasivunjiwe nyumba zao kwa sababu walimpigia kura!!!!? Mbona za kimara alivunja tena kibabe.
Huyu ni sheitwani tu
 
Hivi Kabuta wa Kebbys hotel ni nani kwa huyu jibwana????
 
Afrika ni afrika tu! Ndo maana haitatokea Nabii mwafrika. Hata Huyu tunayejivunia kupambana na rushwa kumbe ni mwenzao tu! Ni aibu kwamba pamoja na hasira na kuonyesha kuwasikitia wanyonge na wadhaifu, bado naye alianzisha matatizo tu!
Duh
 
Hakuna mchawi msafi , ndio ukawasikia CCM wakisema CCM ina wenyewe , wachawi
Kumbe gavana huwa mara zingine akili yako iko safi eeeeeehhh????

Duuuuuhhhhh nakupa like yenye damu ya YESU kwa mara ya kwanza
 
Yeye anadhani kwa kutumia nguvu kuzima wapinzani kusema lolote ndio pona yake? Anajidanganya kumbe bora angeacha wamseme na baada ya muda ingezoeleka na watz walivyo wepesi wangesahau.
Sasa kama anasubiri ile miezi miwili ya kampeni ndio atashangaa maana watu watoka mikutanoni wakilaani kuwa hawakumjua alivyo na ndio mwisho wake kisiasa maana hata chamani kwake atajua jinsi walivyo kuwa na fundo mioyoni ila upresidaa ndio ulikuwa unamlinda
 
Hata wasaka vyeo akina Paskal mayala cyprian musiba Le mutuz nao wana madhambi yao hakuna mwana CCM asiye na dhambi
Naam, hakuna binadamu asiye na makosa. Huwa tuna improve matendo yetu kwa kurejea mapito yetu. Kwenye uzwaji wa nyumba ninge msamehe kama Ange heshimu uhai wa binadamu wenzie
 
Huyu Ndiye Pombe Magufuli:

Sundi Malomo ambaye ni
mzazi mwenzake

Magufuli alishinikiza mtoto wa dada yake anayeitwa James Doto Mgosha auziwe nyumba za serikali kwa kumtengenezea ajira ya muda mfupi katika TANROADS.
Hili jitu kumbe jizi, fisadi na malaya tangu utotoni...sijui TISS walikuwa wapi pumbavu zao wasilijue.

Sundi Malomo si ndo mwenye Kebby's Hotel pale Bamaga Mwenge? Na ndo mkuu kila siku anahangaika kutengeneza hiyo Barabara ya Makumbusho - Mwenge ili hotel ya Kebby's iwe rahisi kufikika.

Na huyo Doto James ndo sasa amepewa Ukatibu Mkuu Hazina wanajichotea tu hela na mjomba wake bila aibu. Na kumbe tangu mapema alitafutiwa ajira Tanroads mjomba wake akiwa Waziri wa Ujenzi...Magumaji is very corrupt!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…