Uuzwaji wa Dhahabu hapa Tanzania

SENYAMANZAVIDA

New Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
3
Reaction score
0
MImi nafanya biashara ya kununua na kuuza dhahabu hapa hapa Tanzania. Nanunua kwa wachimbaji wadogo wadogo, nauza kwa hawa Sonara wa hapa hapa nchini ambao hununua kwa asilimia (percentage purity).

Ombi langu ni kwamba, naomba yeyote mwenye uelewa wa wapi ambapo hawa Sonara huuzia dhahabu yao..
 
Tuyaache hayo asee nahitaji sna hii biashara ndugu inbox namba yako tutafutane
 
Mkuu ni-inbox nambari yako ya simu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…