Uuzwaji wa hisa za benki tarajiwa ya Walimu

Uuzwaji wa hisa za benki tarajiwa ya Walimu

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Wanabodi nawasalimu!
nimekutana na taarifa ya uuzwaji wa hisa za Mwalimu Commercial benki (Mwalimu Commercial Bank),
Hisa moja ni Tsh 500 na kiwango cha chini cha manunuzi ya hisa ni Tsh 100 sawa na shiling 50,000/=
inaweza kuwa fursa kwako.
source😀SE(Dar es salaam Stock Exchange)
 
hata mimi niliiona mkuu!! nafikiria kuchukua kiasi!!
 
Back
Top Bottom