Pale nyuma ya ofisi za Halmashauri ya Ubungo kuna Eneo la wazi la Sqm 10,400 zimepigwa na Afisa Ardhi wa Manispaa anaitwa Fadhili akishirikiana na Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dar Ndugu Kyando.
Pia kulikuwa na eneo la barabara la mita 70 limeuzwa kwa viongozi wa wilaya na viongozi wa mkoa na baadhi ya Majaji pia wameingizwa humo ili kuzuia watu wakilalamika mahakamani washindwe kesi
Jamani tunaomba Viongozi serikali kuu kuingilia kati.