Uvaaji barakoa Ligi Kuu umedunda

Uvaaji barakoa Ligi Kuu umedunda

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19.

Kuna ambao hawakuzivaa kabisa, kuna ambao waliacha pua wazi, na kuna waliozivua ili wanywe au wale vitu vinavyouzwa uwanjani humo. Hii inaonyesha kuwa Mungu mwenyewe ndiye atawalinda sio barakoa na elimu zaidi inahitajika kuhusu COVID-19 na barakoa.

Lakini pia Ni vema Basi vinywaji visiuzwe viwanjani ambavyo vinashawishi watu kuvua barakoa ili wale na kunywa viwanjani.
 
Back
Top Bottom