Yaah na ni waislamu pia...Mimi naamini ukiwa kama kiongozi wa umma tena mwenye mamlaka makubwa tu, ni vyema kuvaa smart (official) muda wote hasa kwenye matukio yanayokutanisha watu kama huo msiba!! Akina Majaliwa na L. Nyarandu they played well
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu utetezi hapo haufit kabisaa... Kwamba millard na bashite walitoka kazini ndo wakaenda pale msibani??? Millars labda mavazi yake na kazi yake sawaa lakini Vip bashite?inategemea na umeenda msibani ukiwa unatokea wapi,je kama umetoka kazini ukaamua kupita msibani ndo iwe hairuhusiwi kutokana na mavazi?
mkuu nahisi wewe hujawahi kuwaona wanakondoo ambao ni wanasesere wakitoka au kwenda kanisani,dada zetu wengi wanavaa shortdress siku hizi wakienda ibadani.Aisee jana kwenye Msiba wa Mzee wetu Mengi kulikuwa na Maajabu mengi sana mara Bashite aonyeshe kiburi cha uzima na pedo yake iliyochanika Magotini ilee lakini Kibaya zaidi ni namna Watu wengine waheshima walivyo vaa kwenye Ule msiba kimsingi haikuwa sahihi japo Inawezekana kabisa walipendeza lakini Kanisani ni sehemu patakatifu sio pakwenda umevaa kisela au mavazi yenye utata..! Millard akaamua Apige Cap... Katibu wa Fisiemu akaona ashikilie dini yake akapiga Barakashia[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Watu wajifunze Kuvaaa mavazi sahihi kwa wakati sahihi na sehemu sahihi hasa Viongozi wetu wa Nchi[emoji120]View attachment 1092982View attachment 1092983View attachment 1092984