Uvaaji mwingine mmh !!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Picha zimegoma kutoka post nimeshindwa kuitoa pls mnisamehe ..nitarudi baadae
 
Loh, niliingia kwa shauku kwenye hii sred sasa inakuaje hapo ?
 
Watishia watu nyau umekuwa lyatonga next time tanguliza ugali maji baadaye mummy
 
Kwisha habari yake, IT mchezo??, si mpaka anayejua kuattach picha awepo.......!!!, pitia daftari tena mama, hatulali mpaka tuzione hizo picha lol
 
aaah wee FL1 vipi bana....watu tunasubiri tuone mavituzi na wewe unauweka usiku....
 
nahisi file limeshavamiwa na trojan , internet cafe za kibongo mchezo??
 
Usijali mama hayo yanatokea ni ya kawaida du. Pole!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…