Uvaaji viatu aina ya brogues

Uvaaji viatu aina ya brogues

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
IMG_20230620_170635.jpg
Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless.

Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole vitabaki salama , vifundo vya kidole kidogo cha mwisho na hiki karibu na dole gumba vitakoma.

Wenzangu ninaona mnavitinga na kuenjoy. Njnaomba ushauri.
 
View attachment 2663375Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless.

Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole vitabaki salama , vifundo vya kidole kidogo cha mwisho na hiki karibu na dole gumba vitakoma.

Wenzangu ninaona mnavitinga na kuenjoy. Njnaomba ushauri.
Viayu vya wakulungwa hivo🔥🔥🔥 yaan hata kama ukienda kuomba kazi ukivaa viatu hvo na suti watu wanaweza hisi ww ndo boss wa kampuni
 
Back
Top Bottom