Viayu vya wakulungwa hivo🔥🔥🔥 yaan hata kama ukienda kuomba kazi ukivaa viatu hvo na suti watu wanaweza hisi ww ndo boss wa kampuniView attachment 2663375Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless.
Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole vitabaki salama , vifundo vya kidole kidogo cha mwisho na hiki karibu na dole gumba vitakoma.
Wenzangu ninaona mnavitinga na kuenjoy. Njnaomba ushauri.