Uvaaji wa celebrity wa kibongo

Uvaaji wa celebrity wa kibongo

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
lovelygamble12.JPG


Ubitozi mwingine balaaa.....jamaa ananinginiza funguo za gari kama mtama kwa watoto ama?

View attachment 9849

Huyu naye mkanda wa suruali hauna kazi LoL celebrity wa bongo hao
 
Jamaa tokea wamesikia majina ya nguo, GUCCI, sijui ARMANI, Basi hata viwe feki vya kuchapwa copy kule CHINI wana jivalia tu, Ukitaka kucheka toka out kwenye viwanja vyao ukome, gucci gucci na Armani Armani za kupika nyiiiiiiiiingi.
 
Hivi hao ndo macelebriti wa bongo?
basi bongo bado ipo ktk ujima.
celebrit hata kujieleza hajui
 
Back
Top Bottom