Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Apr 29, 2010 #1 Ubitozi mwingine balaaa.....jamaa ananinginiza funguo za gari kama mtama kwa watoto ama? View attachment 9849 Huyu naye mkanda wa suruali hauna kazi LoL celebrity wa bongo hao
Ubitozi mwingine balaaa.....jamaa ananinginiza funguo za gari kama mtama kwa watoto ama? View attachment 9849 Huyu naye mkanda wa suruali hauna kazi LoL celebrity wa bongo hao
S samvande2002 JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 413 Reaction score 34 Apr 29, 2010 #2 kha, mbona wamechoka sana aise? damn!
JAMIETZN Member Joined Apr 25, 2009 Posts 72 Reaction score 1 Apr 29, 2010 #3 Jamaa tokea wamesikia majina ya nguo, GUCCI, sijui ARMANI, Basi hata viwe feki vya kuchapwa copy kule CHINI wana jivalia tu, Ukitaka kucheka toka out kwenye viwanja vyao ukome, gucci gucci na Armani Armani za kupika nyiiiiiiiiingi.
Jamaa tokea wamesikia majina ya nguo, GUCCI, sijui ARMANI, Basi hata viwe feki vya kuchapwa copy kule CHINI wana jivalia tu, Ukitaka kucheka toka out kwenye viwanja vyao ukome, gucci gucci na Armani Armani za kupika nyiiiiiiiiingi.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Apr 29, 2010 #4 Hivi hao ndo macelebriti wa bongo? basi bongo bado ipo ktk ujima. celebrit hata kujieleza hajui