Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.

Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana nikampa. Asubuhi kanionesha ameivaa nikamuuliza umefua saa ngapi akaniambia chupi mpya unafua kwanini?

Huyu mama ni msomi na kaishi mbele miaka mingi tu kwahiyo anajua mambo mengi. Je chupi mpya haifuliwi?
 
Hivi mpaka karne hii bado kuna wanawake wanavaa chupi?

Kwanza mnapata wapi hela ya kununua chupi?

Ndio maana hatuendelei.
 
Boss wako anajua vitu vingi ila ajui ch*p*...
Wewe ch*p* mpya unafuaa? If yes (Why) If no (Why)
 
miss natafuta kaleta mada kwa kutumwa au ni yeye na kama ni yeye je yeye ni wa kiume
Wapo wengi humu kuna mtu kani black hash eti nimesemea wanaotafuta wachumba wakimwona Mshana jr. wataachana na wachumba wao, kaja na maneno siyo mazuri halafu akasema utawezaje kututag. Kama mnavyojua kuna id kama lizabon na motochini tunabishana ila siyo kwa uadui ni mitazamo tu, huyu kanijia juu wakati kaja na id tofauti nimeuuliza wewe una id ngapi? Siku zote nadhani motochini ni mwanamme na lizaboni sasa najibiwa na ke kwa maneno siyo mazuri nimeshangaa. Mimi ni KE tena dada yake na Mshana jr.(siyo damu ila karibia) ila mimi siyo mlozi mimi ni atheist. Ups huwa naenda kanisani saa nyingine vikishuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…