Duka likifungwa maana ake hakuna huduma ila ukiliona wazi au hata mlango mmoja upo wazi maana ake huduma ipo,hivyo basi hata km huna mawazo hayo unavaa kwa kupendeza ila tafsiri unaweza kuhudumia mteja......

Huwa nasema sku iktokea nikawa meya wa mji,ntaweka vioo vkubwa sehemu zote wanakopta watu wengi ili wawe wanajtazama,maana unaweza kuta mtu amevaa nguo ,kwanza unaanza kujiuliza huyu mtu anaishi na watu na kajtazama baada ya kutoka nyumban?.........