Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

Sioni kwa nini mtu asivae kimini eti kwa sababu ana miguu mibaya/myembamba. Hata kama ataonekana kituko, so long as yeye yuko comfortable hakuna tatizo hapo.
Hatujamkataza MTU kuvaa nguo fupi....
Kumbuka lengo/kazi ya nguo ni...
1/luficha uchi
2/kumpendezesha mtu

Km unajiamini vaa tu na viguu vyako uonekane ituko...
 
Hatujamkataza MTU kuvaa nguo fupi....
Kumbuka lengo/kazi ya nguo ni...
1/luficha uchi
2/kumpendezesha mtu

Km unajiamini vaa tu na viguu vyako uonekane ituko...
Mimi navaa tu acha nionekane kituko na hivi vimiguu vyangu kama senene....
 
utamkuta mwenye miguuu km hii anakwambia bora avae sababu hata asipovaa hatapata mguu wa bia na fashen inampita,hatareeeee
Hahaaa..kumbe raha kuchekesha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…