Uvaaji wa Miwani ya jua usiku ni ushamba au ujanja wa mjini?

Uvaaji wa Miwani ya jua usiku ni ushamba au ujanja wa mjini?

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Habari wapendwa,

Kuna huu mtindo nauona kwa watu wa mjini Dar wakiongozwa na wasanii kuvaa miwani ya jua usiku tena hata kwenye kumbi za starehe na club.

Je ni ujanja au ulimbukeni nisaidieni mimi wa mkoani.

Wale wenye picha wekeni ila kuweka ushahidi wa hiki nilichokisema.
 
Wanakuwa washabembea hao, mwanga kidogo tu unawazingua.
 
Habari wapendwa,

Kuna huu mtindo nauona kwa watu wa mjini Dar wakiongozwa na wasanii kuvaa miwani ya jua usiku tena hata kwenye kumbi za starehe na club.

Je ni ujanja au ulimbukeni nisaidieni mimi wa mkoani.

Wale wenye picha wekeni ila kuweka ushahidi wa hiki nilichokisema.
Ni uchawi tu, utavaaje miwani ya Giza usiku?
 
Mkuu ongezea na lile la watu kuvaa kofia ( cap ) ndani.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hiyo miwani mkuu ni night vision usiku unaona vizuri tu na bei yake ni kubwa labda wengine wanaovaa ya kawaida bila kujua au
kwa kuiga
sasa kwani usiku kuna jua?
 
Back
Top Bottom