Mimi siwezi kutembea bila kuvaa miwani ya jua mchana.Hata mchana hizo kiwani zimenishinda kuzivaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tumuulize le kokobanga
Ni uchawi tu, utavaaje miwani ya Giza usiku?Habari wapendwa,
Kuna huu mtindo nauona kwa watu wa mjini Dar wakiongozwa na wasanii kuvaa miwani ya jua usiku tena hata kwenye kumbi za starehe na club.
Je ni ujanja au ulimbukeni nisaidieni mimi wa mkoani.
Wale wenye picha wekeni ila kuweka ushahidi wa hiki nilichokisema.
Waeleze mkuu, wengi hawajuagi wanajua ukivaa usiku utaona giza[emoji15] [emoji15] kumbe unaona kama mchana vile, na ina ghalama kubwa kidogoHiyo miwani mkuu ni night vision usiku unaona vizuri tu na bei yake ni kubwa labda wengine wanaovaa ya kawaida bila kujua au kwa kuiga