Uvaaji wa miwani

Wizvee

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
106
Reaction score
44
Habari zenu,

Naomba kujuzwa jamani,

Mimi sina matatizo ya macho ila nilitamani kuvaa miwani za kawaida tu {zab kununua kwa machinga}. Ila tatizo linakuja, kwanini kila miwani ninayoijaribisha naona kama inakiji-lens ya kuvuta kwa mbali?

Yaani ukiiweka miwani yoyote usawa wa macho alafu ukachagua kukiangalia kitu chochote kwa usawa wamiwani na kwa macho ya kawaida utaona ukiweka miwani kitu kinavutwa kidogo.

SASA HII INATOKANA NA NINI? MANAKE NI KWA MIWANI ZOTEE HATA ZILE TINTED.

Mfano mzuri mimi nimenunua miwani na maelezo kwenye sticker yanasema (UV-400PROTECTION)

Je, hiyo ni salama kwa kuvaa?
Je, kuna madhara yoyote ya kuvaa miwani zile zenye kioo transparent (kisicho tinted)

NAOMBENI MSAADA JAMANI
 
miwani ya kawaida mingine ina lenzi, hivyo yaweza haribu macho,kama waweza achana na hayo makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…