UVAAJI WA NGUO NYEUSI

UVAAJI WA NGUO NYEUSI

kanonb

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
391
Reaction score
328
Poleni na shughuli wana jamvi hivi naomba kuuliza swali kwanini watu wengi waliovumbua vitu vikubwa sana hapa duniani hupenda kuvaa nguo nyeusi mfano: Steve Jobs Rob (CEO Wa kampuni ya Apple )Rob Janoff(Graphic Desgner na Mvumbuzi wa Logo la Apple ) na wengine wengi nawasilisha
 
Nadhani ni imani zao katika jamii zao za siri.
 
Zangu zimepauka bado nazipenda wandugu nitafanye zing'are tena kuwa super black kama mwanzo
 
Nguo nyeusi hutunza sana joto ndio maana zinavaliwa na wao
 
Back
Top Bottom