Uvaaji wa Vikaptula vifupi "Vinjuga" umekithiri kwa wanaume

Mkuu hili mbn ni jambo la kawaida sana actually ni mambo ya fashion, ukisikia tunaenda na wakati ndio tunamaanishaga ivyooo yani
 
Jamani ,dah...

Wanaume wanavaa kaputula fupi sanaa.. halafu wanatembea mchana kweupe kabisa na wake zao na watoto...hasa mikoa ya Pwani.
Watakuuliza mbona kina bush man walivaa vyakuziba mbele tu..?
 
Jamani ,dah...

Wanaume wanavaa kaputula fupi sanaa.. halafu wanatembea mchana kweupe kabisa na wake zao na watoto...hasa mikoa ya Pwani.
Mkuu kama huna miguu mizuri ya kuvalia vikaptula,
Endelea na kuvaa msuli na kakoka hukatazwi.
 
Jamani ,dah...

Wanaume wanavaa kaputula fupi sanaa.. halafu wanatembea mchana kweupe kabisa na wake zao na watoto...hasa mikoa ya Pwani.
Siku hizi misuli sio fasheni tena.. Ile ilikuwa inasitiri mabusha
 
Jamani ,dah...

Wanaume wanavaa kaputula fupi sanaa.. halafu wanatembea mchana kweupe kabisa na wake zao na watoto...hasa mikoa ya Pwani.
Hii mambo imekuwa siyo poa kabisa yani sema ndiyo hivyo tena ukisema tu wanakuona mnoko
 
Back
Top Bottom