I ibanga JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 652 Reaction score 1,076 Apr 11, 2021 #1 Habari za asubuhi wakuu. Namuona mama samia suluhu kavaa barakoa sasa hivi akiwa Uganda
M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,106 Apr 11, 2021 #2 Kwa hiyo?
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Apr 11, 2021 #3 Jiandae kwa lockdown
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Apr 11, 2021 #4 Ukiniona na mimi utasemaje?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Apr 11, 2021 #5 Yupo nje ya nchi yake.lazma afate wenyeji wake.
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 917 Apr 11, 2021 #6 Umeandika kama ulikuwa unakimbizwa?
Sister Abigail JF-Expert Member Joined Sep 2, 2020 Posts 2,886 Reaction score 9,088 Apr 11, 2021 #7 Anafuata taratibu za wenyeji. Ukiingia nyumbani ya watu fuata taratibu zao.ukirudi kwako fuata zako.