Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Serikali imeendelea kuwa kimya kuhusiana na suala la wamachinga na wafanya biashara ndogo ndogo. Kadiri muda unavyozidi kusonga ndivyo hali inazidi kuwa mbaya.
Baada ya sehemu wa watembea kwa miguu kuvamiwa na wafanyabiashara ndogondogo hasa Jijini Dar es salaam sasa ni zamu ya vituo vya daladala ni jambo la kushamgaza kuona watu wanaweka vibanda vya biashara sehemu ambayo abiria wanapaswa kusimama au kukaa ili kusubiria usafiri, mwisho wa siku itawalazimu abiria waanze kusimama barabarani.