Anasema alizaliwa humo humo jijini, hivyo si wakuja πππRC anasemaje?
Ngoja wamsagie kunguniAnasema alizaliwa humo humo jijini, hivyo si wakuja πππ
Juzi nimekuta mtu kapanga vitunguu pale darajani kimara
UtatimuliwaMi nilipita hapo darajani kimara nmeona Kuna nafas ya kuja kufanya biashara zangu
Halafu ukisimama hapo unasubiri usafiri anakuja mtu anakuambia "oya!!! huoni kama unaziba biashara hapo uliposimama"Baada ya sehemu wa watembea kwa miguu kuvamiwa na wafanyabiashara ndogondogo hasa Jijini Dar es salaam sasa ni zamu ya vituo vya daladala ni jambo la kushamgaza kuona watu wanaweka vibanda vya biashara sehemu ambayo abiria wanapaswa kusimama au kukaa ili kusubiria usafiri, mwisho wa siku itawalazimu abiria waanze kusimama barabarani.
Wamewalea Sana, kila mahali ni hivyo. Ngoja waje wazibe na barabara ya ikulu!Halafu ukisimama hapo unasubiri usafiri anakuja mtu anakuambia "oya!!! huoni kama unaziba biashara hapo uliposimama"