UVCCM acheni kusifia vitu ambavyo havipaswi kusifiwa

UVCCM acheni kusifia vitu ambavyo havipaswi kusifiwa

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Leo UVCCM hawajuhi mbegu ambazo wanapanda zitakuja kuwagarimu baadae?

Leo UVCCM hawajuhi miaka inayoenda au miaka ya mbele vijana wanaenda badilika?

Je uovu, mateso ya watanzania hawayaoni, siku wakija omba uongozi ikiwemo ubunge, udiwani, je wakiambiwa mlikuwa mnatetea wala rushwa, mafisadi je watajibu nini kwenye majukwaa.

Kifupi UVCCM ni janga la taifa ,na pia wanashindwa kutambua dunia imebadilika,hasa katika masuala ya siasa, UVCCM jifunzeni kwa BAVICHA, ACT-WAZALENDO NGOME YA VIJANA.

Hizo taasisi hukuti zinasifia viongozi wao bali zinaibua kero za wananchi, siku za mbeleni tutakuja kuwashtaki mbele ya wananchi na kutangaza kuwa UVCCM ni janga la taifa.
 
Kama kuna kanza kubwa kwa hili taifa ni huu uchafu unaitwa UVCCM hili ni janga kuliko hata UKIMWI na TB
 
Back
Top Bottom