A
Anonymous
Guest
Uongozi wa CHASO yaani Chadema students Organization umeshuhudia uvunjifu wa Sheria unaoenda kufanyika katika chuo cha Mwalimu Nyerere baada ya kufatilia ilo uongozi uliandika barua kwenda kwa mlezi wa wanafunzi yaani Dean of student ukimtaka kuzuia shughuli inayoenda kufanyika chuoni hapo na vijana wa UVCCM kufanya shughuli hizo ndani ya chuo na kutumia rasimali za chuo kwa shughuli za kisiasa ni kinyume na uvunjifu wa sheria .
Rejea ibara ya 51 ya sheria za vyuo .
Baada ya kuandika barua hiyo na kutumwa chuoni uongozi umedai barua iandikwe kwenda kwa mkuu wa chuo na umedai mkuu wa chuo hatokuwepo kwa muda wa wiki moja kwa kufanya vile ni kutaka kukwepa ili shughuli hizo zifanyike na CHASO wanalaani kauli hiyo kwani ikitokea wao wakafanya shughuli kama hizo chuoni wanazuiliwa na kuchukuliwa hatua hivyo inaonyesha kunyongwa kwa democracy.
Nimeambatanisha tangazo la tukio linaloenda kufanyika chuoni hapo na barua iliyoandikwa na chaso
Tunaomba Jamii Forums mpaze sauti kukemea swala hilo.