Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania.
Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona mtu yoyote anavunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .