Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo ikiwaonya baadhi ya Viongozi wa vyama vya upinzani wanaotishia kuvuruga uchaguzi huo kuacha mara moja.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ya UVCCM Mkoa wa Geita, Manjale Magambo wakati wa ziara yake ya kutembelea kata mbalimbali za Mkoa wa Geita ili kujua uhai wa Jumuiya hizo sambamba na kuwataka vijana kushiriki katika fursa za Mikopo ya asilimia 10 na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Soma, Pia