Pre GE2025 UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia ujenzi wa ofisi za chama katika maeneo mbalimbali.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika kata 17 za Wilaya ya Mbogwe. Alisema vijana wa UVCCM wanaridhishwa na juhudi za viongozi wanaochangia maendeleo ya chama kwa kuboresha ofisi za kata na mashina, hatua ambayo inaendelea kukipa heshima Chama Cha Mapinduzi.

Tutawalinda kwa nguvu zote wanaotetea nchi .
 
Back
Top Bottom