Unaposema upuuzwe unamaanisha hutaki huyo mwenyekiti wenu apatikane?TAARIFA KWA UMMA TUPUUZE UPOTOSHAJI HUU Umoja Wa Vijana Chama Cha Mapinduzi mkoa Wa Geita haujatoa taarifa yoyote kuhusu hili jambo, ni watu wachache wasioitakia mema jumuiya yetu pamoja na amani ya Nchi yetu.
Barua hiyo ambayo ilikuwa imelekeza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa ndani saa 24 apatikane mwenyekiti wao Ndugu Manjale Magambo aliyetekwa.
Ndio wanataka abakie hukohuko alipotekwa maana wameshawaliana na watekajiUnapoaema upuuzwe unamaanisha hutaki huyo mwenyekiti wenu apatikane?
Wapuuzi haoNdio wanataka abakie hukohuko alipotekwa maana wameshawaliana na watekaji
Wanataka afie hukohuko asirudiWapuuzi hao
Wako tayar afe auliwe ili wao wawe salama wasihoji chochote waendelee kutikisa makalio kwenye mikutano na kupata incentives maviUnapoaema upuuzwe unamaanisha hutaki huyo mwenyekiti wenu apatikane?
Au ndiyo power duccession plan yao?Wako tayar afe auliwe ili wao wawe salama wasihoji chochote waendelee kutikisa makalio kwenye mikutano na kupata incentives mavi