Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Amebainisha hayo jijini Dodoma CDE Jessica Mshama baada ya kupokelewa makao makuu ya UVCCM Taifa jijini hapo huku akiwataka Vijana wa chama hicho kushirikiana katika kutekeleza maagizo na maelekezo yote yanayotolewa na viongozi wa juu kwa vitendo, nidhamu na utii katika kulijenga taifa.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Msgana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.