kyokyombe
Member
- Jun 23, 2019
- 6
- 6
Kuna taarifa zinaeleza ya kwamba umoja wa vijana wa CCM wilaya ya Iramba wameingia katika mtafaruku mkubwa sana
hii ni kutokana na mgogoro uliopo kati ya katibu wa vijana wa wilaya na vijana waliopo wilayani humo
katibu huyo inasadikika amekuwa akitumia nafasi yake kwa masilahi binafsi kinyume na kanuni ya umoja wa vijana .
mgogoro huu umepelekea Jumuiya kuelekea kufa wilayani humo
hivyo viongozi wa chama mlioko humu mulikeni hili ili kukiokoa chama .