Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie.
====
Your browser is not able to display this video.
Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura za ndio wagombea wao na kuachana na wa vyama vya upinzani ambao kazi yao ni kupiga makelele na si kushika dola kwa sababu hawawezi.

Ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika tawi la Ludihani Mamlaka ya mji mdogo wa Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe.