Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka matope.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
===
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, amewaeleza Wananchi wa Bukoba Mjini kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Kagera hakikujipanga na Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu ndio maana wagombea wa Chama hicho wameamua kuingia mitini na wengine kususia hata kufanya mikutano kwenye maeneo mbalimbali.
Comrade Faris ameyaeleza hayo Novemba 22, 2024 katika mitaa 10 ya kata za Miembeni, Hamugembe, Bilele na Kashai ambako amepita kwa ajili ya kuzungumza na wananchi na kuwanadi wagombea wanaopeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika maeneo hayo.